App ya Ajira APK

App ya Ajira  Icon
    
4.6/5
12 Ratings
Developer
UmojaApps
Current Version
1.0
Date Published
File Size
10.3 MB
Package ID
com.ajira.go.tz.download
Price
$ 0.00
Downloads
500+
Category
Android Apps
Genre
Education

APK Version History

Version
1.0 (12)
Architecture
arm64-v8a, armeabi, armeabi-v7a, x86, x86_64
Release Date
May 29, 2018
Requirement
Android 4.0+
Version
1.0 (5)
Architecture
arm64-v8a, armeabi, armeabi-v7a, x86, x86_64
Release Date
April 09, 2018
Requirement
Android 4.0+
Version
1.0 (18)
Architecture
arm64-v8a, armeabi-v7a, x86, x86_64
Release Date
March 04, 2019
Requirement
Android 4.2+
  • App ya Ajira Screenshot
  • App ya Ajira Screenshot
  • App ya Ajira Screenshot

About Radio FM 90s

Weka app ya ajira. kwenye simu yako Ili ujulishwe kila nafasi ya kazi inayotokea Tanzania. Hutapitwa na nafasi ya kazi yoyote inayotangazwa Tanzania iwe serikalini au mashirika binafsi.

App ya ajira ilikuwa inaitwa Ajira.go.tz.App haimilikiwi na secretariat ya ajira wala mfanyakazi wa secretariat ya ajira. usije ukazani ni app ya utumishi hapana. App hii inamilikiwa na mdau mtanzania aliyeguswa na tatizo la ukosefu wa ajira na jinsi vijana wanavyohangaika kwa kukosa ajira.

Kwenye app hii utajifunza maswala ya jinsi ya kujibu maswali ya interview, Ufanisi katika kazi.

App hii zaidi ya kukupa taarifa za nafasi za kazi pia inakupa taarifa za kuitwa kwenye usaili au kuitwa kazini pindi ukishatuma maombi kwenye shirika au taasisi husika. Iweke sasa kwenye simu yako

What's New in this version

Weka app ya ajira upate kazi kwa haraka kwa kupata taarifa za nafasi za kazi kila zinapotangazwa serikalini na mashirika binafsi.nafasi za kazi za leo dakika chache zilizopita zimetangazwa wahi kutuma maombi upate kazi

App ya ajira pia inakufundisha mbinu za kufaulu interview na kupata kazi hata ukiwa na washindani elfu kumi nafasi zilizotangazwa 70 tu.

Pata nafasi za kazi za leo na kila siku kupitia app hii ya ajira hapa Tanzania