JamaaOnline.com APK

JamaaOnline.com  Icon
    
4.5/5
2 Ratings
Developer
UmojaApps
Current Version
1.0
Date Published
File Size
10.2 MB
Package ID
com.jamaaonline.com.app
Price
$ 0.00
Downloads
10+
Category
Android Apps
Genre
Social

APK Version History

Version
1.0 (3)
Architecture
arm64-v8a,armeabi,armeabi-v7a,x86,x86_64
Release Date
January 03, 2018
Requirement
Android 4.0+
  • JamaaOnline.com Screenshot
  • JamaaOnline.com Screenshot
  • JamaaOnline.com Screenshot

About Radio FM 90s

Hakika mtandao wa jamaa online ni mtandao wa kizalendo wenye nia ya kuwasaidia Watanzania kujikwamua kiuchumi.

Ukiweka app hii kwenye simu yako utapata habari, matukio, elimu juu ya uanzishaji biashara bila hata ya kuwa na mtaji. Hadithi za kusisimua na mengine mengi ambayo yanatolewa na wadau walioweka app hii kwenye simu zao.

Ndani ya app hii unaweza kuchat na marafiki toka mkoa wowote wilaya yoyote na hata rafiki ambaye yupo mtaa mmoja na wewe.

Mengine zaidi yanayopatikana kwenye app hii

Kila like unayopata kwenye post zako ni pesa, Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Unaweza kumtafuta mchumba na kumpata kirahisi sana

Unaweza kupiga picha na kushare na marafiki pia unaweza ksuhare chochote hata video au file lolote. Weka app hii sasa

What's New in this version

-Weka app hii upate marafiki watakaokusaidia kuinua uchumi wako na maisha yako

-This app helps you to get potential friends for making your life better